Aliko Dangote (aliyezaliwa 10 Aprili 1957) ni mfanyabiashara nchini Nigeria. Yeye ni mmiliki wa Dangote Group, ambayo ina shughuli katika Nigeria na nchi nyingine kadhaa za Afrika Magharibi. Msaidizi tajiri wa Rais wa kitambo, Olusegun Obasanjo na chama tawala cha People's Democratic Party (PDP), Dangote huendesha biashara ya bidhaa ya Nigeria kupitia kampuni yake na kujuana na wanasiasa. Akiwa na wastani wa thamani wa karibu dola bilioni 2.5, alihesabiwa na Forbes kama mmoja wa watu wenye asili ya kiafrica tajiri kabisa, nyuma ya Mohammed Al Amoudi (bilioni $ 9,0 ) na Oprah Winfrey (bilioni $ 2,7).[1]
Oprah Winfrey ana utajiri kiasi gani?
Ground Truth Answers: bilioni $ 2,7bilioni $ 2,7(bilioni $ 2,7
Prediction: